Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 05 27Article 540187

Burudani of Thursday, 27 May 2021

Chanzo: eatv.tv

Vee Money aibukia kwenye uandishi

Vee Money aibukia kwenye uandishi Vee Money aibukia kwenye uandishi

Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi wameandika kitabu ‘SWAHILI 101 vol.1’ chenye kurasa 37 chenye lengo la kuwasaidia watu kujua lugha ya Kiswahili na kuweza kuzungumza kwa haraka. 

Submitted by Telesphory on Alhamisi , 27th Mei , 2021 Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi

Vanessa Mdee na mpenzi wake wa maisha Rotimi, amekuwa akimfundisha lugha hiyo na kuna baadhi ya maneno na misemo ambayo anaipenda inapatikana kwenye kitabu hicho ambacho kimechapishwa Mei 2, 2021 na kinapatikana mtandaoni. 

Ni kitabu kidogo ambacho unaweza kukiweka kwenye mfuko na ukaendanacho popote.

 

Join our Newsletter