Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 07Article 541339

LifeStyle of Monday, 7 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Video: Amber Rutty Amwaga Machozi, Yaliyomkuta Jela

Video: Amber Rutty Amwaga Machozi, Yaliyomkuta Jela Video: Amber Rutty Amwaga Machozi, Yaliyomkuta Jela

Video: Amber Rutty Amwaga Machozi, Yaliyomkuta Jela June 7, 2021 by Global PublishersMsanii wa Bongofleva, Rutyfiya Aboubakary ‘Amber Rutty’ Juni 6, 2021amefanya mahojiano katika kipindi cha Mapito kinachorushwa na Global Radio na kusema Mchungaji wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Daudi Mashimo ndio kila kitu kwake kwa sababu amemtendea mambo mengi yaliyofanikisha kurudisha heshima yake ndani ya jamii.

Join our Newsletter