Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 06Article 541315

Burudani of Sunday, 6 June 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Video: Marioo Aipiga "Live" Mama Amina, Atikisa Kigoma

Video: Marioo Aipiga play videoVideo: Marioo Aipiga "Live" Mama Amina, Atikisa Kigoma

Video: Marioo Aipiga ‘Live’ Mama Amina, Atikisa Kigoma June 6, 2021 by Global Publishers

MSANII anayekuja kwa kasi kwenye tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Omary Mwanga ‘Marioo’ amefanya balaa usiku wa leo Juni 05, 2021 mkoani Kigoma kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha lake la Nandy Festival.

Katika tamasha hilo Nandy, amesindikizwa na wanamuziki wengine akiwemo Alikiba, Mabantu, Marioo na wengine.

Join our Newsletter