Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 14Article 542644

Burudani of Monday, 14 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Video:Zawadi aliyoitoa Diamond kwa mtoto wa Irene Uwoya

Video:Zawadi aliyoitoa Diamond kwa mtoto wa Irene Uwoya play videoVideo:Zawadi aliyoitoa Diamond kwa mtoto wa Irene Uwoya

Usiku huu wa June 13, 2021 imefanyika sherehe ya kumpongeza mtoto wa Irene Uwoya kupokea sacrament yake ya kwanza iliyoambatana na siku yake ya kuzaliwa, na hapa msanii Diamond Platnumz aliitwa mbele kwaajili ya kutoa neno na kumpa zawadi mtoto wa Irene Uwoya. PLAY kutazama