Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 22Article 559054

LifeStyle of Wednesday, 22 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Vijana waliosota miaka 6 bila ajira waibuka wawapa ajira watu 100 (video+)

Vijana waliosota miaka 6 bila ajira waibuka wawapa ajira watu 100 (video+) play videoVijana waliosota miaka 6 bila ajira waibuka wawapa ajira watu 100 (video+)

Ayo TV & Millardayo.com inakukutanisha na Vijana wa Kitanzania waliosota miaka 6 Mtaani bila ajira na sasa wameanzisha Website kwa ajili ya kuwaunganisha waajiri na wafanyakazi.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu stori ambapo ndani yake wameelezea walivyosota miaka sita na mengineyo.