Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 27Article 560035

Filamu of Monday, 27 September 2021

Chanzo: Bongo5

Vipengele vitakavyotumiwa utoaji tuzo za Filamu (+ Video)

Kaimu mtendaji wa bodi ya filamu Tanzania, Dr. Kiago Kilonzo play videoKaimu mtendaji wa bodi ya filamu Tanzania, Dr. Kiago Kilonzo

Baada ya Bodi ya filamu kutangaza ujio wa filamu nchini Kaimu mtendaji wa bodi ya filamu Tanzania Dr. Kiago Kilonzo ameeleza utaratibu wa upigaji kura kwa yeyote atakayetamani kupiga kura.

Pia ameeleza namna ya kumtambua mshindi na zipi zitakuwa Category ambazo wasanii watazishindania.