Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 10Article 541954

Burudani of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: eatv.tv

"Wanaume walikuwa wananiogopa" - Sister P

"Wanaume walikuwa wananiogopa" - Sister P

Kutokana na style ya kuwa na swaga na kuvaa mavazi ya kiume msanii Sister P amesema baadhi ya wanaume walikuwa wanaogopa kumfuata kwa sababu walijuwa atawazingua au kuwapiga ngumi.

Submitted by Shaluwa Anta on Alhamisi , 10th Jun , 2021 Msanii Sister P

"Mimi ni mgumu kwa hiyo tangu zamani watu walikuwa wanaogopa kunifuata, walikuwa wananichukulia kama muhuni mwenzao, nahisi walikuwa wanajua wakinifuata naweza nikawapiga hata ngumi"

Pia ameongeza kusema "Watu wananishangaa ninavyovaa ila nina bahati hata wapenzi wengi ambao huwa nawapata huwa wanataka nibaki hivi, lakini sasa hivi hata watu niliokuwa nawaheshimu wananitongoza kitu ambacho sikipendi".

Join our Newsletter