Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 12 15Article 578713

Mitindo/Urembo of Wednesday, 15 December 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

Washiriki 16 kupamba Miss East Africa 2021 Mlimani City

Washiriki 16 kupamba Miss East Africa 2021 Mlimani City Washiriki 16 kupamba Miss East Africa 2021 Mlimani City

Zaidi ya washiriki 16 wa shindano la Miss East Afrika 2021 wanatarajia kuchuana kuwania taji katika jukwaa moja Ukumbi wa Mlimani City Disemba 24, 2021.

Washiriki wa shindano hilo ni kutoka nchi za Sudan Kusini, Kenya, Uganda, Tanzania Visiwa vya Sheri Sheri, Somaria na nchi nyingine.

Aidha, mshindi atajinyakulia gari aina ya Nissan x Trail, toleo la 2021/21 lenye thamani ya Sh milioni 110.

Tanzania itawakilishwa na mshiriki Queen Mugesi, ambapo hadi sasa hawajataja majaji ambao watakuwa wakiongoza shindano hilo kuhofia kutumika njama zozote za rushwa.