Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 17Article 543175

Burudani of Thursday, 17 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Wema afunguka "Sikualikwa kwenye shughuli ya mtoto wa Uwoya/sijali"

Wema afunguka play videoWema afunguka "Sikualikwa kwenye shughuli ya mtoto wa Uwoya/sijali"

Ni Headlines za staa kutokea kwenye kiwanda cha filamu Wema Sepetu ambae usiku wa kuamkia June 17, 2021 aliibuka na Mbwa wake aitwae Manunu, sasa hapa akakutana na waandishi wa habari akafunguka mengi ikiwemo kutoalikwa kwenye shughuli ya mtoto wa mwigizaji Irene Uwoya. Bonyeza play kufahamu alichozungumza