Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 06Article 555628

Burudani of Monday, 6 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Wizkid na Justin Bieber walivyotumbuiza jukwaa moja kwa mara ya kwanza (video+)

Wizkid na Justin Bieber walivyotumbuiza jukwaa moja kwa mara ya kwanza (video+) play videoWizkid na Justin Bieber walivyotumbuiza jukwaa moja kwa mara ya kwanza (video+)

NI Headlines za mkali kutokea Nigeria, Wizkid ambae time hii amechukua vichwa vya habari baada ya kutumbuiza jukwaa moja na Justin Bieber kwenye tamasha la Made In America.

Tamasha hilo lilifanyika wikiendi iliyopita katika mjini Philadelphia nchini Marekani, wakali hao wawili waliimba kwa mara ya kwanza wimbo uitwao “Essence Remix”.