Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 06Article 545593

LifeStyle of Tuesday, 6 July 2021

Chanzo: eatv.tv

Zari abwagana na mpenzi wake

Zari abwagana na mpenzi wake Zari abwagana na mpenzi wake

Unaweza kusema mambo bado yanamwendea kombo  Zari the Boss lady , baada ya kuripotiwa kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ‘Dark Stallion’ ikiwa wamedumu kwa kipindi kisichopungua miezi 5 tu.

Submitted by Telesphory on Jumatatu , 5th Jul , 2021 Picha ya Zari na aliyekuwa mpenzi wake

Zari amefuta picha zao kwenye ukurasa wake wa Instagram na kueleza kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa mahusiano yao licha ya kuwa hayakumjenga kimaisha.

“I miss him, but I had to let him go. If it doesn’t build me I won’t keep it”.

The Boss lady na Mnigeria huyo waliweka wazi mahusiano yao mwezi Februari 14 mwaka huu ambayo huwa ni siku ya wapendanao.