Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 04Article 540991

xxxxxxxxxxx of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Zari akaribishwa Bungeni, Balozi wa Utalii (+picha)

Leo June 4, 2021 Zari ni miongoni mwa wageni waliokaribishwa Bungeni Dodoma leo kushuhudia shughuli mbalimbali za Bunge kwa mwaliko wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dr. Damas Ndumbaro, Zari kwa sasa ni balozi wa hiyari wa utalii Tanzania.RAIS SAMIA ASHTUKIZA SOKONI KISUTU, AKUTA MADUDU, AMBANA MSIMAMIZI “UNA UHAKIKA”

Join our Newsletter