Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 02Article 555079

Burudani of Thursday, 2 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Ze Comedy wamepewa Dakika 5 Stejini tazama mbwembwe zao (video+)

Ze Comedy wamepewa Dakika 5 Stejini tazama mbwembwe zao (video+) play videoZe Comedy wamepewa Dakika 5 Stejini tazama mbwembwe zao (video+)

Ni kampuni ya Multichoice Tanzania kupitia huduma ya DSTV imezindua kifurushi kipya cha ‘Poa’ ambacho kitapatikana kwa shilingi 9900/- pekee kwa mwezi mzima huku kikiwa na channel zaidi ya 40 ikiwemo chaneli mpya ya Maisha Magic Poa yenye vipindi kutoka Tanzania.Sasa hapa nimekusogezea video ujionee Ze Comedy walivyopewa dakika 5 za kuwasalimia mashabiki zao, unaweza ukabonyeza play kutazama kile kilichojiri.