Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 08Article 584104

Burudani of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Zuchu: 2022 Ni Mwaka Wangu Pia

Zuchu: 2022 Ni Mwaka Wangu Pia Zuchu: 2022 Ni Mwaka Wangu Pia

PAMOJA na kwamba alifanya vizuri mno kwa mwaka 2021 kiasi cha wimbo wake wa Sukari kushika namba moja kwa nyimbo zote zilizotoka mwaka huo, Zuchu anasema kuwa, mwaka huu wa 2022 nao utakuwa ni mwaka wake pia.

Zuchu ambaye yupo chini ya Wasafi ya Diamond Platnumz anasema; “Well well well!! 2021 has been nothing but a year of learning how to grow.

“Nisiwaongopee mwaka huu i have been a good girl just released 4 songs na still sababu ya upendo wenu am still the most viewed, streamed female artist in east Africa, i thank yall.

“2021 i rised, made mistakes, fell and learned how to get up with God and worked my lungs off… InshaaAllah 2022 it’s going to be us in those worldwide platforms walahi niseme tu 2022 is also mine. I will disturb yall ears in a good way. Asanteni and Happy New Year…”