Uko hapa: NyumbaniUkurasaMaoniArticles2021 09 06Article 555580

Maoni of Monday, 6 September 2021

Columnist: TanzaniaWeb

Nini kifanyike kuelekea msimu mpya Ligi kuu 2021/2022

Miongoni mwa timu zitakazoshiriki Ligi kuu 2021/2022 Miongoni mwa timu zitakazoshiriki Ligi kuu 2021/2022

Ligi inayoenda kuanza msimu huu ni tofauti na ligi zilizotangulia, kuanzia kwenye uwezeshwaji, timu zimewezeshwa vilivyo na wadhamini wa Ligi.

Kwa hiyo wana kila sababu ya kufanya maandalizi, siku za nyuma kilichokuwa kinasababisha wakati mwingine ni rasilimali, unakuta timu haina rasimali fedha ya kufanya waweze kwenda kufanya Pre-season nje.

Mkitoka kwenda kufanya Pre-season ni gharama asilimia mia, kwaiyo kwasasa timu zina kianzio, kwaiyo walichokifanya ni sahihi

Kingine, siku hizi vitu vinabadilika tofauti na zamani, Dunia imekuwa Kijiji, vitu ambavyo vilikuwa vinafanyika nje sasa hivi vinaonekana.

Wataalamu, kozi zimeongezeka, zimefanyika kozi nyingi sana, za makocha, semina zinafanyika kwa Upande wa uongozi, vyote hivyo vikiwa na lengo la kuongezeana uwezo.

Tuliona juzi bodi ya ligi walikuwa na Waandishi, kulikwa na wasemaji mameneja, kwa hiyo wanajaribu kuongezea uwezo hawa ambao watu kwenye hii tasnia.

Kwaiyo mrejesho wake ndo haya mabadiliko tunayoyaona, zamani watu walikuwa wanakosa uwezo, watu walikuwa Wanakosa kufahamu vitu, lakini sasa hivi watu wanafahamu.

kwanini

Kwa maana ya Pre-season, hiyo nafiriki ndo topic inayoanzia hapo, kwa hiyo makocha wameelimika tofauti na zamani watu walikuwa waongoza vikundi (maana kuongoza timu ni lazima ufuate misingi na taratibu)