Uko hapa: NyumbaniMichezoGolf

Mashindano ya gofu ya MCL- LBGC yapambana moto Lugalo

TanzaniaWeb

Dar es Salaam. Mashindano ya gofu maarufu kwa jina la Breakfast Golf Community tournament (MCL-LBGC) yameshirikisha jumla ya wacheza gofu maarufu 42 nchini.

Mashindano hayo yaliyoanza saa 7.00 mchana jana Ijumaa, yamedhaminiwa na Mwananchi Communications Limited (MCL), kampuni inayochapisha magazeti ya The Citizen, Mwananchi na Mwanaspoti.

Wachezaji nyota wa kike, Angel Eaton, Hawa Mwanyenche, Vicky Elias, Maryanne Hugo na  Priscilla Karobia walikuwa mingoni mwa wachezaji maarufu walioshindana  katika mashindano hayo yaliyosimamiwa na  Godfrey Kilenga.

Wachezaji wengine maarufu wa kiume ni Martin W, John H, Simon Kaphale, Femin Mabachi, Joseph Tango, Mohamed Rweyemamu, Godfrey Kilenga, Foti » Read More

 
» More Golf News