Uko hapa: NyumbaniMichezoGolf2020 11 09Article 514243

Golf News of Monday, 9 November 2020

Chanzo: Millard Ayo

Riayz wa Tanzania aibuka mshindi wa Golf akizishinda nchi 19

Riayz wa Tanzania aibuka mshindi wa Golf akizishinda nchi 19

Aaalaa Riayz Somji mwenye umri  wa miaka 17 ameibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya Diplomatic Golf awamu ya pili yaliyofanyika katika viwanja vya Kilimanjaro golf club jijini Arusha.

Mashindano  hayo yaliyoandaliwa na taasisi ya Songea Mississippi Foundation (SOMI) yenye lengo la kusaidia watoto wenye mazingira magumu katika wilaya ya Songea.

Katika mashindano Hayo Aaalaa Riayz Somji amewashinda washiriki wengine zaidi ya Mia moja kutoka nchi 19 tofauti.

VIDEO: SHABIKI WA YANGA HAAMINI KILICHOTOKEA, ONYANGO KAIFUNGIAJE SIMBA

Join our Newsletter