Uko hapa: NyumbaniHabariHealth2021 10 12Article 562897

Habari za Afya of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: www.habarileo.co.tz

CCBRT kupima macho bure Temeke

Pichani ni daktari wa bingwa wa Macho, Joseph Sungura kutoka Hospitali ya CCBRT akimpima macho Pichani ni daktari wa bingwa wa Macho, Joseph Sungura kutoka Hospitali ya CCBRT akimpima macho

HOSPITALI ya CCBRT kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wanatoa huduma ya kupima macho bure kwa wakazi wa Temeke na maeneo mengine ya Jiji la Dar es Salaam.

Huduma hiyo imeanza kutolewa leo katika Hospitali ya Polisi Kilwa Road ikiwa ni kuelekea katika maadhimisho ya siku ya macho duniani itakayofanyika kesho kutwa Alhamisi.