Uko hapa: NyumbaniHabariHealth2021 11 26Article 574096

Habari za Afya of Friday, 26 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Unywaji wa Beer hupanua na kuharibu Moyo - Prof. Janabi JKCI

Unywaji wa Beer hupanua na kuharibu Moyo - Prof. Janabi JKCI Unywaji wa Beer hupanua na kuharibu Moyo - Prof. Janabi JKCI

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Tanzania (JKCI) Profesa Janabi amesema kubwa matumizi makubwa ya Pombe zote hupelekea matatizo makubwa kwenye Moyo.

Profesa Janabi ambaye ni Dakatri Bingwa wa masuala ya Moyo ameeleza kubwa kitaalamu inashauriwa mtu atumie kati ya Beer moja hadi mbili tu kwa siku na ziwe na mpishano wa saa moja na kwa wale wanaotumia vinywaji vikali wanashauriwa kunywa "shoti" moja tu ili kuulinda moyo.

"Ukienda baa Saa Moja hadi Saa mbili ya Usiku chupa moja. Chupa ya pili unaanza kunywa Saa mbili hadi Saa Tatu baada ya hapo tazama mpira Liverpool inavyozifunga timu zingine au Simba inavyozifunga timu zingine." - Dr. Mohammed Janabi, Mkurugenzi Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete