
MAONI: Simba huu ni mwaka wa kuishangaza Afrika
MECHI za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika zilimazika jana na kutoa picha kamili ya hatua ya robo fainali itakavyokuwa. Mabingwa wa soka mara tatu mfululizo nchini, Simba wamemaliza kileleni mwa Kundi A, hivyo hawatakutana na vinara wenzao wa makundi, bali watakabiliana na moja ya timu tatu
13 Apr 20210