Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 09 25Article 510229

xxxxxxxxxxx of Friday, 25 September 2020

Chanzo: millardayo.com

ACT Wazalendo wamjibu Msajili "ni imani ya Seif ila hatujaungana"

Leo September 24, 2020 Chama cha ACT-Wazalendo kimemjibu Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu Maalim Seif Sharif Hamad, mgombea urais wa chama hicho Zanzibar kumwombea kura Tundu Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia CHADEMA.

ZITTO KABWE ATOA TAMKO RASMI SAKATA LA MGOMBEA URAIS TUNDU LISSU NA MEMBE

Join our Newsletter