Uko hapa: NyumbaniHabariSiasa2021 06 08Article 541615

Siasa of Tuesday, 8 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Bungeni Dodoma leo ni Wanaume watupu (+picha)

Bungeni Dodoma leo ni Wanaume watupu (+picha) Bungeni Dodoma leo ni Wanaume watupu (+picha)

Huenda leo June 8, 2021 ikawa ni miongoni mwa matukio ya kipekee kutokea katika mkutano wa Bunge ambapo kufuatia kuwepo kwa tukio la mkutano wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu mkoani Dodoma, Wabunge wanawake wote wamelazimika kushiriki mkutano huo na kupelekea Mkutano wa tatu wa kikao cha tatu wa Bunge la 12 kufanyika ukiwa na washiriki wanaume pekee.WEZO WA MTOTO WA UWOYA KUCHEZA MPIRA “BABA NA RONALDO WANANIVUTIA UWANJANI”

Join our Newsletter