Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 11 02Article 513601

xxxxxxxxxxx of Monday, 2 November 2020

Chanzo: zanzibar24.co.tz

DK. HUSSEIN AAPISHWA KUWA RAIS WA ZANZIBAR

Dkt. Hussein Mwinyi ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Awamu ya Nane wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Dkt. Mwinyi ambae ni Mgomea wa Chama cha Mapinduzi CCM alitangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 27 – 28 kwa kura 380,402 sawa na 76.27% .

Join our Newsletter