Siasa of Thursday, 29 October 2020
Chanzo: Millard Ayo
Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Tunduma Mkoani Songwe, amemtangaza David Silinde wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 43,276, akifuatiwa na Frank Mwakajoka wa CHADEMA aliyepata kura 12,433.