Uko hapa: NyumbaniHabariSiasa2022 01 10Article 584698

Siasa of Monday, 10 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Dr. Tulia Ackson achukua fomu kugombea Uspika wa Bunge

Dr. Tulia Ackson achukua fomu kugombea Uspika wa Bunge Dr. Tulia Ackson achukua fomu kugombea Uspika wa Bunge

Januari 10, 2022 Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu msaidizi Mkuu Idara ya Organaizesheni Bw. Solomon Itunda katika Ofisi za Makao makuu ya CCM Dodoma.