Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 11 03Article 513772

xxxxxxxxxxx of Tuesday, 3 November 2020

Chanzo: millardayo.com

Dr. Tulia Ackson achukua fomu kuwania tena Unaibu Spika

Hizi ni picha za Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza muda wake Dr. Tulia Ackson leo akiwa Makao Makuu ya CCM Dodoma kuchukua fomu ya kuwania tena nafasi hiyo katika Bunge lijalo la 12 kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

KUTANA NA WANACHUO WAKULIMA “TUPO WATANO, TULIAMUA KULIMA BAADA YA KUKOSA KAZI MAOFISINI”

Join our Newsletter