Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 10 29Article 513382

Siasa of Thursday, 29 October 2020

Chanzo: Millard Ayo

Fred Lowassa ashinda Ubunge Monduli (+picha )

Fred Lowassa ashinda Ubunge Monduli (+picha )

Msimamizi wa uchaguzi katika Jimbo la Monduli amemtangaza Fredrick Lowassa wa CCM kuwa mshindi wa Jimbo hilo kwa kupata kura 72,502 sawa na asilimia 93.23% akifuatiwa na Cessilia Ndossi wa CHADEMA aliyepata kura 4,637 sawa na asilimia 5.96%, Chogga wa ACT 485 sawa asilimia 0.62% na Kijuu NRA 145 sawa asilimia 0.19%.

MBOWE ASHINDWA UBUNGE, MAFUWE AIBUKA KIDEDEA HAI

Join our Newsletter