Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 12 16Article 518897

Siasa of Wednesday, 16 December 2020

Chanzo: Zanzibar 24

HATIMAE WABUNGE WA ACT WAAPISHWA

HATIMAE WABUNGE WA ACT WAAPISHWA

Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai lamewaapisha Wabunge wa nne wa Chama cha ACT Wazalendo ambao ni Mbunge wa Mtambwe Khalifa Mohamed Issa, Mbunge wa Konde Hatibu Said Haji, Mbunge wa Wete Omar Ali Omar na Mbunge wa Chonga Salum Mohamed Shafi.

Join our Newsletter