Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 12 17Article 518957

xxxxxxxxxxx of Thursday, 17 December 2020

Chanzo: millardayo.com

Hujuma mradi wa Milioni 400, Mbunge awaka "mwezi mzima hawana maji" (+video)

Mbunge wa jimbo la Igalula Venant Protas akiwa kwenye ziara jimboni nmepokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa kata ya Igalula ya kukosekana kwa maji kwa zaidi ya wiki moja baada ya kupokea malalamiko hayo.

Mbunge amefika katika chanzo cha maji kilichojegwa mapema 2018 kwa Mil. 400 na kukuta ubovu wa miundombinu na amempigia simu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Uyui Mhandisi Godfrey Shibiti na kumuomba kurejesha huduma hiyo kwa haraka.

Join our Newsletter