Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 10 29Article 513385

xxxxxxxxxxx of Thursday, 29 October 2020

Chanzo: millardayo.com

Iringa Mjini Jesca ashinda Ubunge

Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Mjini amemtangaza Jesca Msambatavangu wa CCM kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 36,034 dhidi ya mpinzani wake Peter Msigwa Chadema aliyepata kura 19,331 .

Mchungaji Peter Msigwa alikuwa akilitetea Jimbo hilo la Iringa aliloliongoza kwa miaka 10.

LIVE ZANZIBAR: MATOKEO YA URAIS ZANZIBAR

Join our Newsletter