Uko hapa: NyumbaniHabariSiasa2021 09 07Article 555832

Siasa of Tuesday, 7 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb/DarMpya

LIVE: CHADEMA wanaongea kuhusu Jaji Mutungi kuzuia mikutano

LIVE: CHADEMA wanaongea kuhusu Jaji Mutungi kuzuia mikutano play videoLIVE: CHADEMA wanaongea kuhusu Jaji Mutungi kuzuia mikutano

Baada ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kutoa maagizo ya kuzuia mikutano ya vyama siasa ili kupisha mazungumzo kati ya ofisi ya Msajili, Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro na vyama mbalimbali vya siasa, leo September 7, 2021 CHADEMA wamekutana na waandishi wa habari kueleza madhara ya jambo hilo kisheria.