Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2021 01 05Article 520424

Siasa of Tuesday, 5 January 2021

Chanzo: Millard Ayo

Mbunge Kunambi aanza kazi Jimboni kwake "lazima tuanze Serikali itatukuta" (+video)

Mbunge Kunambi aanza kazi Jimboni kwake

Mbunge wa Jimbo la Mlimba wilayani Mlimba, Morogoro, Godwin Kunambi amefanya ziara yake ya kwanza katika kijiji cha Lugala kata ya Uchindile ambapo amezungumza na wananchi wa kata hiyo na kuchangia mifuko 50 ya saruji yenye thamani ya Sh Milioni Moja ili kusaidia ujenzi wa Zahanati ya kijiji hiko.

Mbunge Kunambi pia ameahidi hadi kufikia Januari 15 mwaka 2021 ujenzi wa Kituo cha Afya kwenye kata hiyo utakua umeanza.

Join our Newsletter