Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 11 25Article 516053

Siasa of Wednesday, 25 November 2020

Chanzo: Millard Ayo

Mnyika azungumzia sakata la Halima Mdee na wenzie "hatujatoa majina" (+video)

Mnyika azungumzia sakata la Halima Mdee na wenzie "hatujatoa majina" (+video)

Leo November 25, 2020 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema chama hicho hakijatoa majina ya Wabunge wowote hivyo kitaitisha kamati kuu na kutoa maamuzi.

Join our Newsletter