Uko hapa: NyumbaniInfosSiasa2020 11 28Article 516437

Siasa of Saturday, 28 November 2020

Chanzo: Millard Ayo

Ridhiwani Kikwete aanza na miradi ya maji "nitatoa full support watu wapate maji" (+video)

Ridhiwani Kikwete aanza na miradi ya maji "nitatoa full support watu wapate maji" (+video)

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amefanya mazungumzo na Meneja wa DAWASA  Chalinze Onest Makoi na kutembelea miradi ya maji inayoendelea jimboni humo, ametembelea miradi ya Chaliwaza na Ruvu Juu.

Ridhiwani amesema yupo tayari kushirikiana na DAWASA katika miradi inayoendelea na kutoa sapoti ili wananchi wanufaike na miradi inayoletwa na Serikali “Nitatoa full support kuhakikisha miradi yote miwili inakamilika ule wa Chaliwaza na mradi unaotokea Ruvu juu kuhakikisha wananchi wetu wanapata maji” .

Join our Newsletter