Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu

Yanga, Simba, Azam zapishana ‘airport’

Yanga, Simba, Azam zapishana ‘airport’ TIMU za soka za Yanga, Simba na Azam zimepishana kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) zikienda katika mechi zao za nusu fainali ya Kombe la Shirikisho zitakazochezwa mwishoni mwa wiki. Kikosi cha Yanga kilikuwa cha kwanza kufika kiwanjani hapo mapema alfajiri na kupanda ndege kwenda Tabora kwa ajli ya mchezo wao wa nusu fainali ya kombe hilo dhidi ya Biashara United ya Musoma mkoani Mara utakaofanyika kesho Ijumaa kwenye Uwanja Ali Hassan Mwinyi. Akizungumza na HabariLEO, Meneja wa kikosi hicho, Hafidh Salehe amesema maandalizi yote yamekamilika na tayari walikuwa wameshatua mjini Tabora kwa ajili ya » Read More

Jun 24
Makambo Yanga Imeisha Hiyo! Azinguana na Kocha
NYIE! Yanga waitangazia vita Simba
Maafande kutibuliana mipango leo
Yanga sasa haitaki mbeleko kimataifa
Nyoni kununulia mashabiki 50 tiketi
Yanga Manzese wataka kamati ya ufundi kuokoa MaPro wao
Karia sasa kikaangoni
Gomes: Mechi na Yanga ngumu
Yanga, Simba, Azam zapishana ‘airpot’
Jun 23
Ile baki tu baki inarudi, Manji apagawisha mastaa Yanga
Bil 2.5 Zatengwa Kufanya Usajili Yanga
Mwigulu: Simba ilistahili ubingwa Afrika 2020/21
Fei Toto kawa mtamu zaidi, wengine mjipange tu
Jun 22
Nyoni afichua siri ya ushindi
Nado, Lyanga watajwa Simba
 
» More Soccer News