Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585619

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Duchu Atua Geita Gold

Duchu Atua Geita Gold Duchu Atua Geita Gold

Klabu ya Geita Gold ya mkoani Geita imeinasa saini ya mlinzi David Kameta “Duchu” kutoka klabu ya Simba.

Duchu ambaye aliwahi pia kuitumikia klabu ya Lipuli ya Iringa, kabla ya dirisha dogo la usajili kufunguliwa alikuwa akiitumikia klabu ya Biashara United kwa mkopo akitokea Simba.