Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 09 11Article 556876

Soccer News of Saturday, 11 September 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Hans Poppe kuzikwa Septemba 15 Iringa

Ratiba ya Mazishi ya Marehemu Hans Poppe Ratiba ya Mazishi ya Marehemu Hans Poppe

Mazishi ya Aliekuwa Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa Simba Sports Club Zakaria Hans Poppe yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kihesa Mkimbizi Mkoani Iringa.

Taarifa hiyo imetolewa na klabu ya Simba ambako mpaka mauti yanamkuta , Hans Poppe ndiko alipokuwa akifanyia kazi.

Hans Poppe amefariki Septemba 10, katika Hospitali ya Agha khan Jijini Dar es Salaam.