Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 11 24Article 573793

Soccer News of Wednesday, 24 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Haya hapa matokeo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA)

Haya hapa matokeo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) Haya hapa matokeo ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA)

Msururu wa matokeo ya mechi za Klabu bingwa Ulaya.

Meneja wa mpito wa Manchester United Michael Carrick alitoa ushindi dhdi ya

Villarreal kwa meneja wa zamani Ole Gunnar Solskjaer huku United wakichukua nafasi yao katika Chambioni Ligi mwisho 16.

Magoli kutoka kwa Cristiano Ronaldo ana Jadon Sancho yalimpa ushindi Carrick katika mechi yake yaka kwanza katika usimamizi wam uda siku mbili naada ya kufutwa kazi kwa Solskjaer.

Mautmaini ya Barcelona ya kufikia katika ngazi ya mchujo katika Championi Ligi hayajulikani baada ya kutoka sare katika Nou Camp by Benfica.

Robert Lewandowski alishinda mechi tisa za mafanikio za Championi Ligi huku Bayern Munich wakiendela kushikilia rekodi ya ushindi wa 100% kwa ushini wa 2-1 katika kundi E dhidi ya Dynamo Kyiv.

Meneja wa Chelsea Thomas Tuchel alisema kuwa klabu ilipata " mafanikio mazuri" huku klabu hiyo ikisonga hadi katika kuwa miongoni mwa timu 16 za mwisho za Championi Ligi kwa ushindi wa 4-0 dhidi ya Juventus katika Stamford Bridge.