Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585610

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Konte: Man U Walichelewa Kumfukuza Ole

Konte: Man U Walichelewa Kumfukuza Ole Konte: Man U Walichelewa Kumfukuza Ole

Scholes anasema Man United ilifanya kosa kubwa sana kutomfukuza Ole Solskjaer mapema ili kumpata Antonio Conte ambaye alienda Spurs.

Solskjaer pia anadai Rangnick hana hadhi ya kuifundisha klabu kubwa kama Man United huku akipendekeza timu hio kumng'oa Antonio Conte kutoka Spurs.