Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585604

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Lukaku Arejea Ligi Kuu Bara

Lukaku Arejea Ligi Kuu Bara Lukaku Arejea Ligi Kuu Bara

Klabu ya Biashara United imekamilisha usajili wa mshambuliaji Mtanzania aliyekuwa anayechezea klabu ya Burundi Dynamic Sports inayoshiriki ligi kuu nchini humo, Ashraf Ally, Ashraf Ally maarufu kwa jina la Lukaku sasa amerejea ligi kuu ya Tanzania bara.