Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585628

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022FINAL: Half Time, Azam 0- Simba 0

Mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup bado bila bila kwa dakika 45 za kwanza Mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup bado bila bila kwa dakika 45 za kwanza

Ni dakika 45 za wanaume! unaweza kusema mtoto hatumwi dukani kwa soka linalooneshwa ndani ya Dimba la Amaan visiwani Zanzibar.

Simba wametawala eneo kubwa la mchezo wa leo lakini Azam wamekuwa tishio zaidi kwa majaribu mawili waliyoyafanya katika lango la Simba SC.

Ibrahim Ajib na Kola wangweza kuwatanguliza Azam kama isingekuwa uimara wa mlinda mlango Aishi Manula.

Tusubiri dakika 45 za kipindi cha pili kuona ni nani ataibuka mbabe katika mchezo huu wa Fainali ya Mapinduzi Cup.