Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585622

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#MAPINDUZICUP2022FINAL: Hivi hapa vikosi vinavyoanza mchezo wa Fainali leo

Vikosi vya Simba na Azam vinavyoanza mchezo wa leo Vikosi vya Simba na Azam vinavyoanza mchezo wa leo

Muda mchache ujao Simba na Azam watashuka katika Uwanja wa Amaan Zanzibar kuwania Kombe la Mapinduzi Cup.

Simba wanajisabu kutengeneza historia ya kupoteza kombe hilo mara kwa mara huku Azam FC wakijinasibu lkuendeleza rekodi yao ya ubora pindi inapokuja michuano ya Mapinduzi Cup.

Hivi hapa vikosi vinavyoanza mchezowa leo,