Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 10 12Article 562861

Soccer News of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Mechi Simba vs Polisi Tanzania yapigwa kalenda

Simba Sports Club Simba Sports Club

Mechi ya ligi kuu ya NBC kati ya Simba na Polisi Tanzania iliyokuwa ichezwe Oktoba 20, 2021 imesogezwa mbele na sasa itachezwa Oktoba 27.

Bodi ya Ligi katika taarifa yake imebainisha kuwa mchezo huo umesogezwa mbele kutokana na changamoto ya usafiri wa haraka kwa Simba kuelekea katika mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika.