Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585421

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mkude mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

Mkude mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC Mkude mchezaji Bora wa Mwezi Simba SC

Mchezaji Bora wa Mashabiki wa mwezi Desemba (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player of the Month), Jonas Mkude.

Mkude anashinda tuzo hiyo kwa Mara ya pili sasa baada ya kuinyakua katika mwezi Novemba.

Tazama picha zaidi hapa chini kuona anavyokabidhiwa tuzo hiyo;