Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 11 22Article 573520

Soccer News of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Msimamo Ligi Kuu NBC Novemba 22

Msimamo wa Ligi Kuu NBC, baada ya kukamilika kwa mechi za mzunguko wa 6 Msimamo wa Ligi Kuu NBC, baada ya kukamilika kwa mechi za mzunguko wa 6

Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Primia Ligi) 2021/2022 imemaliza mzunguko wa raundi ya Sita siku ya jumapili Novemba 21.

Mpaka leo Novemba 22, kila timu imecheza michezo sita na Yanga ndio kinara akiwa kileleni mwa msimamo na alama zake 16, akifuatiwa na Simba SC alama 14 huku Dodoma Jiji wakiwa nafasi ya tatu na alama zao 11.

Mtibwa Sugar ndiyo timu inayoburuza mkia ikiwa na alama 2 nafasi ya 16.