Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 11 24Article 573928

Soccer News of Wednesday, 24 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Roman Abramovich ashinda kesi

Roman Abramovich Roman Abramovich

Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich ameshinda kesi ambayo alishitakiwa na Harper Collins kuhusu kuinunua klabu ya Chelsea ilikuwa ni amri ya kutoka kwa rais wa urusi Vladimir Putin.

Abramovich mwenye miaka 55 mahakama imempa hati safi dhidi ya kesi ya kuchafuliwa kuhusu kashfa ya ununuzi wa klabu ya Chelsea, iliyowasilishwa dhidi yake na sasa anaweza kuendelea na shughuri zake ikiwa atahitaji kumfungulia kesi Harper Collins dhidi ya kumchafulia jina anaruhusiwa.

Harper aliwasilisha mashitaka hayo kuwa mwaka 2000 Roman Abramovich aliamrishwa na Putin kununua klabu hiyo kwa ada ya Pauni milioni 150 mahakamani huku Roman akikataa na kusema sio kweli bal ni kumchafua yeye na klabu kwa ujumla .

Roman Abramovich anaweza kuendelea baada ya kesi awali kuweza kushinda baada ya jaji kuhitaji kuwa bwana Roman Abramovich asafishe jina lake haraka iwezekanavyo kutokana na kuchafuliwa na kesi hiyo.