Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 10 12Article 562723

Soccer News of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Shangwe zatawala mapokezi Twiga Stars (+video)

Watanzania wakicheza ngoma kuwapokea Tiga Stars play videoWatanzania wakicheza ngoma kuwapokea Tiga Stars

Watanzania wengi amejitokeza kuipokea timu ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars katika uwanja wa ndege wa JNIA.

Kulikua na Shangwe za kutosha wakati wa kuwapokea mashujaa hao wa nchi baada ya kubeba ubingwa wa COSAFA.

Tayari timu ya Twiga Stars imewasili na taji ililotwaa baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Malawi kwenye fainali iliyochezwa nchini Afrika Kusini.