Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585598

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Simba Yamtaka Mukoko

Simba Yamtaka Mukoko Simba Yamtaka Mukoko

TETESI ZINASEMA KUWA Klabu ya Simba bado inamuhitaji kiungo chuma Mukoko Tomombe na imefahamika kuwa mawasiliano ya ushawishi yameshaanza kufanyika huku wa wakimuahidi usajili wa dau nono, Gari na ubalozi wa moja ya sheli (kujaza mafuta bure kwa msimu mzima).