Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2021 10 11Article 562483

Soccer News of Monday, 11 October 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Stars yawasili nchini toka Benin

Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kulia akiwa na John Bocco Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta kulia akiwa na John Bocco

Timu ya Taifa “Taifa stars” imewasili ikitokea Benin kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia, Stars ilipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji huko Cotonou, Benin.