Uko hapa: NyumbaniMichezoMpira wa Miguu2022 01 13Article 585616

Soccer News of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#Tanzia: Kiula Afariki Dunia

#Tanzia: Kiula Afariki Dunia #Tanzia: Kiula Afariki Dunia

Habari zilizotufikia muda huu zinasema kuwa,Mbunge wa zamani wa Iramba Magharibi na Waziri mstaafu wa ujenzi (1985-1995) Nalaila Kiula, amefariki dunia.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tunavyozipokea.